Kipi ni bora..........?

Kipi ni bora..........?

hamic mussa

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
227
Reaction score
20
kipi ni bora kati ya kumpata mtu ANAYEKUPENDA lakini HUMPENDI au UNAEMPENDA lakini HAKUPENDI?
 
Hakuna bora hapo, maana mwisho wa siku utaishia kuwa shabiki wa shetani kwa kupenda uzinzi.
 
Mimi napenda wale wanao nipenda :biggrin:
 
Mtoa mada rudi kajipange upya. ni makosa sana kulazimisha upendo yaani iwe ni kulazimisha upendwe au kulazimisha upende. so mimi nakushauri hapa hakuna bora. Bora ni kupendana wote.
 
Mtoa mada rudi kajipange upya. ni makosa sana kulazimisha upendo yaani iwe ni kulazimisha upendwe au kulazimisha upende. so mimi nakushauri hapa hakuna bora. Bora ni kupendana wote.

kwa mfano hajatokea wa kupendana wote, utachagua nini?
 
Inakera mwanamke anapokufukuzia ilhali we humtaki,na kumtaka mwanamke akakutaa hilo ni jambo la kawaida, unampotezea tu,you can not win them all.
 
Rejea maandiko
Wanaume= wapendeni wake zenu kwa akili
Wanawake=watiini waume zenu
Mwanaume ndo anapaswa kupenda, mwanamke kazi yake ni ku-respond kwa upendo anaoonyeshwa. Kwa hiyo kama ww ni mwanamke angalia unapovutwa but trust me akitokea mwenye juhudi zaidi huyo utamuacha salander bridge. Ila kama ww ni mwanaume ni wajibu wako kutengeneza mazingira ya kupendeka.

Hivi unafikiri angeumbwa mwanamke kwanza halafu ndo akafuatia mwnaume ingekuwaje?
 
Network Loading.......
 
Back
Top Bottom