Kipi ni chuo bora hapa Tanzania?

Kipi ni chuo bora hapa Tanzania?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Kila mtu anasifia ubora wa chuo chake na si akili na ujuzi wake,hasa madenti wa udsm wanajikweza kua ndo no moja tz
 
Tanzania hatuna chuo bora kama vipi tujenge wewe.
 
Basi jibu lako ni hakuna,jitathmini na jiyakinifu
 
Kuna vyenye afadhali tu kama udsm,sua,ifm,IAA.Ila huwezi sema ni vyuo bora.
 
Kuna vyenye afadhali tu kama udsm,sua,ifm,IAA.Ila huwezi sema ni vyuo bora.

bwa mdogo ifm na iaa hizo ni taasisi tu huwezi kuzipa hadhi ya chuo,elewa swali la muanzisha uzi.
 
bwa mdogo ifm na iaa hizo ni taasisi tu huwezi kuzipa hadhi ya chuo,elewa swali la muanzisha uzi.

kwan shahada inayotolewa udsm na ifm zina tofaut gani mkuu?
 
bwa mdogo ifm na iaa hizo ni taasisi tu huwezi kuzipa hadhi ya chuo,elewa swali la muanzisha uzi

ifm sio chuo ni taasisi sasa elimu inayotolewa ifm na cbe ina tofauti gani in general context ,mbona cbe kinaitwa chuo na sio taasisi,muanzisha uzi alisema chuo kwa maana ya sehemu inakotolewa elimu ya juu na sio vinginevyo,ungesema sio chuo kikuu ungekuwa sahihi
Kwa hiyo unataka kulinganisha ifm ,iaa na MOI,TUKI kwa sababu zote ni taasisi
 
kuna tofauti shahada ya Udsm inapikwa na maprofesa while ya ifm inapikwa na ma assistant lecturer na T.As
 
WADAU MMETOA MAONI ILA ongezea
 
Back
Top Bottom