Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,240
sio kwamba tunasifia chuo chetu, ni ukweli UDSM kipo juu kwa Tanzania......hasa madenti wa udsm wanajikweza kua ndo no moja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kwamba tunasifia chuo chetu, ni ukweli UDSM kipo juu kwa Tanzania......hasa madenti wa udsm wanajikweza kua ndo no moja tu
sio kwamba tunasifia chuo chetu, ni ukweli UDSM kipo juu kwa Tanzania.
ndiyo maana mkatoa rais legelege Jk
Kila mtu anasifia ubora wa chuo chake na si akili na ujuzi wake,hasa madenti wa udsm wanajikweza kua ndo no
kwamtazamo wangu chuo bora hapa bongo hakuna.Chuo ambacho kinaweza kuwa bora angalau ni mzumbe, nasema hayo kwa kuangalia mashindano ya Zain Africa challenge Universities .Mzumbe angalau kilifurukuta, lakini udsm ni viroboto tu. habari ndi hiyo.
ndugu nenda kaangalie kwenye records za say CPA mbona IFM inafanya vizuri sana kuliko UDSM hao maprofessor wamewasaidiaje wanafunzi mbona wanaonekana vilaza kwenye proffesional studies?IFM kina sifa ya chuo cha kata! kinachukua wanafunzi vilaza.
acha kuchangia mada kwa kutoa hoja mbovu hivyo kama una njaa fanya ule kwanza maana akili yako iko mbali kabisa,huwezi kukihukumu chuo kwa kuangalia wajinga wajinga wachache tu walioshiriki hiyo michuano,Majembe hawana habari na hizo takataka...
sasa kama wenye akili walikuwepo na hawakwenda kutetea ubora wa chuo chao sisi tutapima vipi ubora wa hicho chuo unachokisifia.mimi naona mkubali tu,ud limebaki jina tu,lakini kuhusu ubora wa taaluma,wanaohitimu hapo wanaishia na chawa kichwani.
Swali rahisi sana hilo, UDSM ndio chuo bora kwa Tanzania, sio kwamba nakisifia, hapana....ndio ukweli huo.
HABARI NDIO HIYO! KAMA UNABISHA ANDAMANA.
ndugu nenda kaangalie kwenye records za say CPA mbona IFM inafanya vizuri sana kuliko UDSM hao maprofessor wamewasaidiaje wanafunzi mbona wanaonekana vilaza kwenye proffesional studies?
ndiyo maana mkatoa rais legelege Jk
Wasomwaji wa siku hizi bwana,ndo wale wale eti darasa la saba na form four hawana akili.Angalau hopo kale sisi wa darasa la saba tulikuwa tunatambuliwa na kutoa mchango mkubwa kwenye jamii siyo hawa elimu makaratasi,makabrasha,.najiuliza mtu kama BUJIMA akienda mtaani kwao inakuwaje si taaabu kweli kweli.
kila mtu anasifia ubora wa chuo chake na si akili na ujuzi wake,hasa madenti wa udsm wanajikweza kua ndo no moja tz