Kipi ni chuo bora kwa kozi za Engineering kati ya UDSM,DIT na MUST ?

Mwambie aje DIT, ila ajiandae kupiga msuli kweli kweli, mimi napiga electrical tukienda kufungua naingia mwaka wa pili,
Kama ni dogo anaejielewa niconnect nae, nimpe mbinu za pale maana mwaka wa kwanza unasumbua sana mambo yanakuwa mengi, yanachanganya kabla hajakaa vizuri test one izo hapa kabla haujajiweka sawa test twoo nazo izo, kabla mtu hajapumua UE inaanza,
Si ajabu kutoka na sup 5 kati ya module 10, mtu hapo ndo anaanza kukichukia chuo na kuona mambo ni magumu,
Ila ukiwa na mtu wa kukuelekeza mambo yanavyokua mapema unapita kirahisi sana.
 
Ntakucheck
 
Hivi kati ya vyuo tajwa hapo juu kipi kinanoa vizuri wanafunzi kinadharia na vitendo katika kozi za engineering?,hasa Electrical engineering.
Electrical ni DIT ila civil Ni Udsm.hiyo MUST bado haijaimarika
 
Nacheka sana hawa madogo wanavyodanganyana. Eti DIT
 

mwaka wa pili beng miaka mitatu au minne??
 
Kakutane na kitu inaitwa mathematics engineering nahisi utaelewa vizuri na bado babu yake Code duuh shikamoo udsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…