Kipi ni dhahabu kati ya Dengu vs Alizeti?

Mkuu, wewe ni lulu kwenye hii forum
Sijui ni nini umekiacha hapa aisee.
Bravo.
 
Mkuu 'Mariki boy', umetoa mchango wa maana sana hapa.

Watu kama wewe JF ingekuwa na utaratibu wa kuwatambua kwa michango yenu ya msaada mkubwa kwa wengine.

Ubarikiwe sana katika shughuli zako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…