Hivi jamani kuoa mpaka uwe na lengi la kuwa baba...hatuwezi kuoa tuu lengo likiwa kugegedana na kusafiri bila kuwa na watotoUtayari wa kua mume na baba wa familia..
Kwani kuwa na familia mpaka uoe?Yapi hayo yenye umuhimu zaidi kwenye maisha ya kileo kushinda kuwa na familia yako?
inategemea ntu na ntu, hakuna vigezo uniform kwa woteKumekuwa na mvutano wa nafsi kati yetu wanaume, wengine kuoa kwa kufuata mkumbo, wengine kuoa kwa kuwa ana kipato kizuri, wengine kuoa kwa kuwa anaona umri unakimbia na mwengine kuoa kwa kuwa amefanikiwa kumpata yule wanaopendana, Je ni nini asa kigezo muhimu kwa mwanaume ili aweze kuchukua maamuzi ya kuoa??
πππHivi jamani kuoa mpaka uwe na lengi la kuwa baba...hatuwezi kuoa tuu lengo likiwa kugegedana na kusafiri bila kuwa na watoto
Njoo nikuwowe bwana tule raha za dunia...hamna mambo ya kulipa ada sie ni kula bata tuuπππ
Kwa nini shemeji hamwagilii moyo wako jamaniYaan aisee mtoto ndo kitu kinaniumiza kichwa sahiz natamni mno kuwa mama