Kipi ni kigezo muafaka kwa Mwanaume kuoa, Je Ni umri, kipato au upendo wa dhati?

Umri na Maturity, maana kuoa kunataka akili pia ujizire hasa kwa kizazi hiki kilichomuasi Mungu.
 

Mi kwangu nikiwa na kipato stable aisee ina epusha mambo mengi sana....
 
Mimi nafikiri umri na kipato ni muhimu zaidi ili kuweza kuboresha familia yake
 
Kwa tulipofikia ni upendo na uwe na uhakika unaweza kusamehe pia naw unaweza kujishusha ukikosea ukasema samahni Otherwise msioe watoto wa watu maana pmoja na umri na vipato Bado ndoa hazinaamni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…