Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Umemaliza! Ubarikiwe.Mithali : Mlango 6
32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Samahani mkuu unatumia kinywaji gani nikupe offerMambo ya walawi : Mlango 20
10 Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
asante sana.Warumi : Mlango 8
6 Kwa kuwa nia ya mwili ni mauti; bali nia ya roho ni uzima na amani.
1 wafalme : Mlango 13
Unakula mayai yake nikuletee? Wametaga sana mwezi huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakula mayai yake nikuletee? Wametaga sana mwezi huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu akishangia guest tayr ameenda kuzini???Mithali : Mlango 6
32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Huu Uzi wachangiaji wote wameshusha nondo za Bible kasoro mim hakuna kitu kichwani I fell impressed sana mtoa mada moto unao umekutana Na mapapaa wakwakanisa
Sent using Jamii Forums mobile app