Kipi ni kigumu zaidi kukifanya mchana kweupe?

Kipi ni kigumu zaidi kukifanya mchana kweupe?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
49121001_1009056219304873_2035929367204331520_n.jpg
 
Mambo ya walawi : Mlango 20

10 Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
 
Samahani mkuu unatumia kinywaji gani nikupe offer

Sent using Jamii Forums mobile app
1 wafalme : Mlango 13

9 maana ndivyo nilivyoagizwa kwa neno la BWANA, kusema, Usile chakula cho chote wala usinywe maji, wala usirudi kwa njia ile uliyoijia.
 

Attachments

  • 49519615_2098408816891097_6744106881112866816_n.jpg
    49519615_2098408816891097_6744106881112866816_n.jpg
    17 KB · Views: 24
Huu Uzi wachangiaji wote wameshusha nondo za Bible kasoro mim hakuna kitu kichwani I fell impressed sana mtoa mada moto unao umekutana Na mapapaa wakwakanisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakula mayai yake nikuletee? Wametaga sana mwezi huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yoahana 3: Mstari 20-21

-Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa.
-Bali yeye aitendaye kweli huja kwenye nuru, ili matendo yake yaonekane wazi ya kuwa yametendwa katika Mungu.
 
Back
Top Bottom