Yaani mecheka saaaana jamaniiMajibu ya mwendok
Yaani mecheka saaaana jamanii
Angalia usipaliweYaani mecheka saaaana jamanii
Mtu akishangia guest tayr ameenda kuzini???
Ningekusapot kwa mistar hiyo ya bible na kukusifia.Warumi : Mlango 8
6 Kwa kuwa nia ya mwili ni mauti; bali nia ya roho ni uzima na amani.
Sawa dadaAngalia usipaliwe
YaaaniWatu wanamaneno makali sana, yanakufanya ukome kuulizauliza