Kipi ni kigumu zaidi kukifanya mchana kweupe?

Kipi ni kigumu zaidi kukifanya mchana kweupe?

Kukianza kuwa na ugumu kwenye kuingia na kutoka hapo kinacholeta ugumu ni ile hali ya aibu ya dhambi.
Tamaa ikichukua mimba hudhaa dhambi, dhambi ikisha kukomaa huzaa mauti
Mtu akishangia guest tayr ameenda kuzini???
 
Warumi : Mlango 8

6 Kwa kuwa nia ya mwili ni mauti; bali nia ya roho ni uzima na amani.
Ningekusapot kwa mistar hiyo ya bible na kukusifia.
Kwan mm pia ni mpenz wa kusoma bible.

But nimepata mashaka na wew kuwa huna uelewa sana na hicho ukisomacho.

Ushahur wangu endelea kusoma bible sana hasa agano jipya.
Kwan agano la kale lina mambo mengi ya sheria ambazo sio sheria za Mungu na zimekamilishiwa mafundisho yake kwa agano jipya.

Ndio maana Yesu alisema sikuja kutengua agano bali kulikamilisha.

Kwa ukamili zaidi, soma sana agano Jipya mkuu, utaongeza kumjua Mungu wako na hekima yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila hekima zangu za kulitanguliza neno la Mungu, huu Uzi wa kishenzi ungepata comments nyingi sana. Watu mnapenda sana ujinga, na dawa ya ujinga ni kuleta Neno la Mungu, ujinga unafitika automatically
 
Back
Top Bottom