Kipi ni kisimbuzi chako pendwa?

Kipi ni kisimbuzi chako pendwa?

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Ipi ilikuwa sababu iliyokufanya ukichague kisimbuzi hicho na uachane na vingine?

Nilikuwa mtumiaji wa satelite dish isiyo ya kulipia, ukarabati wake unaelekea kunishinda, nina mpango wa kuhamia kwenye visimbuzi
 
Kwangu vipo vitatu, Mimi DStv mama watoto Azam, bekitatu yeye startime
 
Ipi ilikuwa sababu iliyokufanya ukichague kisimbuzi hicho na uachane na vingine?

Nilikuwa mtumiaji wa satelite dish isiyo ya kulipia, ukarabati wake unaelekea kunishinda, nina mpango wa kuhamia kwenye visimbuzi
DSTV ndio kisimbuzi changu pendwa kutokana na channel za crime and investigation na history na discovery japo zinapatikana kwingine ila pia wana huduma nzuri sana kwa wateja
 
Kisimbuzi ni startimes mpira wa ulaya utakosa epl tu, kuhusu klabu bingwa na shirikisho Africa huonesha mechi zote kutokana na kuwa na chanel nyingi za mpira. Chanel nyingi za movie, series na habari duniani. Nunua startimes na ulipe kifurushi Cha 23,000 au 36,000 hutajuta. Bei sokoni ni 97,000 kikiwa na ofa ya mwezi mmoja Bure baada ya hapo ni burudani tu.
 
Ukisikia mpira wa ulaya Basi ni EPL na UEFA.
Azam wana Ligue 1 na bundesliga
 
Azam mvua zikinyesha tu kinapoteza mawimbi.[emoji3][emoji3]

Binafsi nimenunua DSTV kwa sababu ya Channel za watoto.
 
Wakuu mwenye kujua Kuhusu Canal+ nimeambiwa wanaonyesha ligi zote na mashindano yote makubwa...tatizo wanatumia kifaransa!..
 
Nilivyo bahiri DSTV nilinunua nikapata ofa tu ilivyoisha ofa nikalitupia huko siwez kulipa hela zote hzo
TV INCH 63 ila natumia AZAM NA CANAL+ cio poa aisee
 
Kisimbuzi ni startimes mpira wa ulaya utakosa epl tu, kuhusu klabu bingwa na shirikisho Africa huonesha mechi zote kutokana na kuwa na chanel nyingi za mpira. Chanel nyingi za movie, series na habari duniani. Nunua startimes na ulipe kifurushi Cha 23,000 au 36,000 hutajuta. Bei sokoni ni 97,000 kikiwa na ofa ya mwezi mmoja Bure baada ya hapo ni burudani tu.
Kwa kuongezea hapo na sisi wapenzi wa tamthilia za kituruki Kuna Chanel inaitwa dizi Chanel ina tamthilia bandika bandua.
 
Back
Top Bottom