BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Nimeangalia sana Video utotoni plus kuja kutazama sana TV ukubwani kidogo, now day aisee sijui kilinitokea nini, kwa kifupi huwa nashangaa sana wanao tazama TV, ni kitambo sana lavda nikute Baaa au Hotelini.Ipi ilikuwa sababu iliyokufanya ukichague kisimbuzi hicho na uachane na vingine?
Nilikuwa mtumiaji wa satelite dish isiyo ya kulipia, ukarabati wake unaelekea kunishinda, nina mpango wa kuhamia kwenye visimbuzi
Mimi simu napata kila kiti kinacho weza patikana huko sana Habari na Mpira, mambo ya Tamthilia ni ujinga mkubwa mimi hadi leo kushindana na Beki tatu kuangalia Tamthilia