Kipi ni kisimbuzi chako pendwa?

Kipi ni kisimbuzi chako pendwa?

Ipi ilikuwa sababu iliyokufanya ukichague kisimbuzi hicho na uachane na vingine?

Nilikuwa mtumiaji wa satelite dish isiyo ya kulipia, ukarabati wake unaelekea kunishinda, nina mpango wa kuhamia kwenye visimbuzi
Nimeangalia sana Video utotoni plus kuja kutazama sana TV ukubwani kidogo, now day aisee sijui kilinitokea nini, kwa kifupi huwa nashangaa sana wanao tazama TV, ni kitambo sana lavda nikute Baaa au Hotelini.

Mimi simu napata kila kiti kinacho weza patikana huko sana Habari na Mpira, mambo ya Tamthilia ni ujinga mkubwa mimi hadi leo kushindana na Beki tatu kuangalia Tamthilia
 
Kati ya continental na andazi na chagua andazi ..... kuna siku taenda kumponda nalo dialo pale star TV. maana lime jaa vumbi tu uko store hili tuli pigwa wazi wazi
 
Kati ya continental na andazi na chagua andazi ..... kuna siku taenda kumponda nalo dialo pale star TV. maana lime jaa vumbi tu uko store hili tuli pigwa wazi wazi
Chukua startimes bado hujachelewa
 
DStv ni rahisi jamani watu hawajui TU!! The lowest package ni 10,000 / ( elfu kumi TU) local chanel zoooote
Pia bbc, Aljazeera,discovery family,nk
Mkuu, hivi channels za Afro music, trace mziki, sound city, maisha magic, tv E na wasafi tv zinapatikana kwenye hicho kifurushi au kwenye kinachofuata? Na kama ni kinachofuata, gharama yake ni Tsh ngapi?

Samahani kwa usumbufu mkuu
 
Mpaka Sasa FTA ndio ninatumia na sijaona king'amuzi Cha maana kwakuwa channel asilimia kubwa no za Bure siwezi zinunua channels,
 
Back
Top Bottom