Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Kwangu vipo vitatu, Mimi DStv mama watoto Azam, bekitatu yeye startimeIpi ilikuwa sababu iliyokufanya ukichague kisimbuzi hicho na uachane na vingine?
Nilikuwa mtumiaji wa satelite dish isiyo ya kulipia, ukarabati wake unaelekea kunishinda, nina mpango wa kuhamia kwenye visimbuzi
DSTV ndio kisimbuzi changu pendwa kutokana na channel za crime and investigation na history na discovery japo zinapatikana kwingine ila pia wana huduma nzuri sana kwa watejaIpi ilikuwa sababu iliyokufanya ukichague kisimbuzi hicho na uachane na vingine?
Nilikuwa mtumiaji wa satelite dish isiyo ya kulipia, ukarabati wake unaelekea kunishinda, nina mpango wa kuhamia kwenye visimbuzi
Naungana na beki 3 wakoππKwangu vipi vitatu, Mimi DStv mama watoto Azam, bekitatu yeye startime
π€π€π€π€π€Kwangu vipi vitatu, Mimi DStv mama watoto Azam, bekitatu yeye startime
Ukisikia mpira wa ulaya Basi ni EPL na UEFA.Kisimbuzi ni startimes mpira wa ulaya utakosa epl tu, kuhusu klabu bingwa na shirikisho Africa huonesha mechi zote kutokana na kuwa na chanel nyingi za mpira. Chanel nyingi za movie, series na habari duniani. Nunua startimes na ulipe kifurushi Cha 23,000 au 36,000 hutajuta. Bei sokoni ni 97,000 kikiwa na ofa ya mwezi mmoja Bure baada ya hapo ni burudani tu.
π€π€π€π€π€π€Ukisikia mpira wa ulaya Basi ni EPL na UEFA.
Azam wana Ligue 1 na bundesliga
Canal+ wanaonyesha ligi gani?.Ukisikia mpira wa ulaya Basi ni EPL na UEFA.
Azam wana Ligue 1 na bundesliga
Kabisa mkuu, Azam na wenzake wote ni madudu tuuDstv tu sema wengi hatuna hela ila tunaipenda hy kitu
Huku startimes Ligue 1, serie A, bundesliga, Saidia Arabian league ya akina Ronaldo, n.kUkisikia mpira wa ulaya Basi ni EPL na UEFA.
Azam wana Ligue 1 na bundesliga
Karibu DStv utafurahiIpi ilikuwa sababu iliyokufanya ukichague kisimbuzi hicho na uachane na vingine?
Nilikuwa mtumiaji wa satelite dish isiyo ya kulipia, ukarabati wake unaelekea kunishinda, nina mpango wa kuhamia kwenye visimbuzi
DStv ni rahisi jamani watu hawajui TU!! The lowest package ni 10,000 / ( elfu kumi TU) local chanel zooooteDstv tu sema wengi hatuna hela ila tunaipenda hy kitu
Kwa kuongezea hapo na sisi wapenzi wa tamthilia za kituruki Kuna Chanel inaitwa dizi Chanel ina tamthilia bandika bandua.Kisimbuzi ni startimes mpira wa ulaya utakosa epl tu, kuhusu klabu bingwa na shirikisho Africa huonesha mechi zote kutokana na kuwa na chanel nyingi za mpira. Chanel nyingi za movie, series na habari duniani. Nunua startimes na ulipe kifurushi Cha 23,000 au 36,000 hutajuta. Bei sokoni ni 97,000 kikiwa na ofa ya mwezi mmoja Bure baada ya hapo ni burudani tu.