Kipi ni sahihi kati ya kuoa/ kuolewa au kuoana?

Kipi ni sahihi kati ya kuoa/ kuolewa au kuoana?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Nilimsikia Lady Hanifa wa Radio One akisisitiza kuwa mume na mke wameoana. Na wengi siku hizi hasa wanawake wanatumia neno ili kuoana badala ya kuoa au kuolewa. Je, ni sahihi kweli kuoana? na kwa nini watu wanatumia neno ili? Nini maana yake kabisa - kuoana?
 
Back
Top Bottom