kidaganda JF-Expert Member Joined Aug 26, 2013 Posts 2,995 Reaction score 2,572 Nov 21, 2014 #1 wasomi wa kiswahili je ni sahihi kusema mfn. Dada katembea uchi wa mnyama???? au Dada katembea uchi wa binadamu??? tumezoea kusema uchi wa mnyama je ni sahihi??
wasomi wa kiswahili je ni sahihi kusema mfn. Dada katembea uchi wa mnyama???? au Dada katembea uchi wa binadamu??? tumezoea kusema uchi wa mnyama je ni sahihi??