kipi ni sahihi mnyama /binadamu

kipi ni sahihi mnyama /binadamu

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,995
Reaction score
2,572
wasomi wa kiswahili
je ni sahihi kusema
mfn.
Dada katembea uchi wa mnyama????

au

Dada katembea uchi wa binadamu???

tumezoea kusema uchi wa mnyama je ni sahihi??
 
Back
Top Bottom