fikirini Senior Member Joined May 24, 2011 Posts 114 Reaction score 22 Jul 2, 2011 #1 Napata shida kutambua usahihi wa sentensi hizi. 1.Baba wa malkia ni John 2. Baba ya malkia ni john. ipi ni sahihi kati ya hizo?
Napata shida kutambua usahihi wa sentensi hizi. 1.Baba wa malkia ni John 2. Baba ya malkia ni john. ipi ni sahihi kati ya hizo?
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,605 Reaction score 1,843 Jul 3, 2011 #2 fikirini said: Napata shida kutambua usahihi wa sentensi hizi. 1.Baba wa malkia ni John 2. Baba ya malkia ni john. ipi ni sahihi kati ya hizo? Click to expand... Baba wa malkia ni John.
fikirini said: Napata shida kutambua usahihi wa sentensi hizi. 1.Baba wa malkia ni John 2. Baba ya malkia ni john. ipi ni sahihi kati ya hizo? Click to expand... Baba wa malkia ni John.
B Babu mchumi Member Joined Jul 5, 2011 Posts 62 Reaction score 11 Jul 5, 2011 #3 X-PASTER said: Baba wa malkia ni John. Click to expand... jaman huyo malkia si ni mtu,mi naona hapo ni 'baba wa malkia ni John'
X-PASTER said: Baba wa malkia ni John. Click to expand... jaman huyo malkia si ni mtu,mi naona hapo ni 'baba wa malkia ni John'
R rununu Member Joined Jun 26, 2011 Posts 57 Reaction score 2 Jul 5, 2011 #4 kwa kuangalia upatanisho wa kisarufi "Baba wa malkia ni sahihi" au unaweza kusema "Baba yake malkia" na wala si Baba ya malkia
kwa kuangalia upatanisho wa kisarufi "Baba wa malkia ni sahihi" au unaweza kusema "Baba yake malkia" na wala si Baba ya malkia