Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napata shida kutambua usahihi wa sentensi hizi. 1.Baba wa malkia ni John 2. Baba ya malkia ni john. ipi ni sahihi kati ya hizo?
jaman huyo malkia si ni mtu,mi naona hapo ni 'baba wa malkia ni John'Baba wa malkia ni John.