Kipi nianze nacho kati ya haya mawili

Anza kununua computer upige kazi, hiyo laki 3 hata mahari haitoshi
Hivi kweli laki 3 ndani watakula nn na ataendeshaje maisha kipato chake bado sio Cha kuishi na mke hasa najua bint lazma ni 2000+ kwahyo inawsza ndoa ikasumbua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…