Kipi Polepole atazungumza? Na kipi ambacho wasikilizaji wanatamani kukisikia?

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Mimi Sijambo!

Polepole alisha-miss target 🎯 tangu siku ya kwanza. Sijajua nini atafanya kurudisha mchezo katika umiliki wake. Kwa kweli bado natathmini nini atafanya kuitikisa serikali ya Samia Suluhu ambayo kwa sasa ninaweza kusema ni adui namba moja wa Polepole katika Vita aliyoianzisha, kwani lengo lake kuu ni kutotaka Samia kuendelea katika nafasi ya Urais.

Kipi kitakuwa Game changer katika vita vya Polepole.
Kwenye vita, unaweza ukazidiwa sana lakini kuna silaha ukiziingiza mchezoni zinaweza kubadili upepo na uelekeo wa vita. Kwenye mpira kuna Super Sub.

Polepole atatumia silaha ipi ambayo itabadili upepo na kumleta mchezoni.

Kwa upande wa Tundu Lisu maji yapo shingoni na anatutegemea Sisi watibeli tuokoe jahazi. Na kimsingi tutaokoa.

Kwa upande wa Gwajima, tumeona amefurukuta na amejaribu kualika na kuingiza silaha ya Udini kwa kutumia Wakatoliki kama Risasi lakini ni wazi imeshindikana.

Kwa mpina nako, Hola.

Polepole ana silaha gani nyingine anayotegemea siku ya leo ambayo anaamini itamsaidia kuleta mzani sawa katika uwanja wa mapambano?

Upande wa watazamaji na wasikilizaji hawatarajii makubwa sana zaidi ya kuhitaji uthibitisho wa issues zilizokuwa zikienea kama uzushi. Tatizo la uthibitisho ni moja, halinaga muamko, ari na halileti badiliko la kuchukua hatua.

Hivi ni tofauti na habari mpya kabisa ambayo haipo Sokoni

Swali ni kitu gani polepole anacho ambacho kitaleta mshtuko, taharuki kubwa yenye kutikisa serikali na wakuu wake?

Kwa upande wangu sioni.

Polepole leo atakachoongea kwasehemu kubwa kitamhusu Rostam, Kikwete(ingawaje nahisi ni boss wake), Tundu Lisu, na suala la utekaji.

Ngoja tuone. Si jambo na sina jambo

Taikonmaster
Kwa Sasa Dar bila Madaha
 
You are thinking from the abyss
 
Wewe una mawazo ya kitumwa sana. Umeathirika sana na elimu ya Bongo na naweza kusema bila shaka wewe ni mfano wa victims wa elimu ya kukariri bila kuelimika. Siku zote huwa unaona kama utetezi wa haki na uongozi bora ni jambo la wananchi kuangalia kama movie huku wakishangilia. Ni kama kundi la nyumbu... mwenzao anapokamatwa na simba wao hutazama utadhani wanaangalia tukio la kufurahisha sana. Hili ndilo linafanya CCM isiogope chochote kwa sababu inajua wananchi wengi ni nyumbu.
 
Shiada ni nini!? Mbona saa 2 sio mbali!
 
Ulikuwa unazungumzia nini Mkuu?
Naona umechangia kitu tofauti na mada.
 
Nani walihusika moja kwa moja kumpiga Lissu risasi.
 
Back
Top Bottom