Kipi rahisi kupatikana kwako kati ya hivi viwili

Kati ya papuchi na pesa kipi unaweza ukakipata ndan ya muda mfupi kama ukiamua. let say upo home na huna hata mia. anatokea mtu anakuambia utafute moja kati ya hayo mawil ndan ya masaa 24. Utarud na kipi mkonon. vyote vinaweza kupatikana but kipi kinapatikana kwa uwepes zaid kwa upande wako? nawasilisha.
Inategemea papuchi ya quality gani na pesa kiasi gani.............
 
mlinganyo wako hakikisha unaendana. kama demu ni quality ya juu bas na pesa weka maximum ya kiwango cha juu.
 
Pesa.. coz hata nikishinda ndani... still huwa zinanifuata kupitia vitega uchumi vyangu
 
Umewadharau dada zetu naomba vigezo na masharti vizingatiwe
 
wamedharauliwa katika nyanja ipi? wangeanza wao kujiheshimu kwa kuvaa nguo za staha. hivyo vichup wanavyovaa (wahusika) tuwaheshimu kwa lip? heshima huanzia kwako kisha wengine hufuata.
 
ingekuwa enzi zile za zamani yaani enzi za mababu zetu: kupata "papuchi" ingekuwa ngumu sana, bali ingekuwa rahisi kupata pesa kuliko "Papuchi".

Enzi hizi za BRN; Pesa sometimes inazingua kuipata, ila ukitaka "Papuchi" haihitaji hata lisaa kupita, inategemea unahitaji ya Class gani?. Ndani ya masaa machache utapata Shaziiiiiii papuchi'z. Swali lako sijajua utanataka ugundue nini? Wanaume tumebakia wachache sana tena tunazidi kupungua daily!! Chunga sana hizo "Papuchi zako!!!!!!!!!"
 
unajua vitu hiv viwili kibongo bongo ndo vina competition ya hal ya juu. mtu akipata pesa kinachofuata wanawake, na hata ukiwa na madem 100 bila pesa bado hujaonekana kidume.lakin vyote hiv tunatafuta lengo kuu ni kupata furaha baaas.
 
Mm kupata hao viumbe wala haihitaji pesa. Labda kwa wengine, kupata pesa ndio nachezesha akili kwa sana!!
 
Hizo zote mbili ni resource (economically). but tofauti ipo hapa; kuitafuta pesa ni kaz ngumu ila ukitulia unaweza kui manage lakin kutafuta mwanamke sio kaz ngumu but the task is how to manage her is another issue.
 
mpaka sasa zimepigwa kura 12. 5 zimeangukia kwenye pesa, 5 zimeangukia kwenye papuch. 2 zimebalance, zimesema inategemea na mazingira. tuendelee na utafiti.
 
mlinganyo wako hakikisha unaendana. kama demu ni quality ya juu bas na pesa weka maximum ya kiwango cha juu.
ushawahi kutafuta hela kiwango cha juu wewe? Kama umewahi basi jibu unalo. Usilinganishe hela na vitu ambavyo Mungu kaleta 'for free'
 
Back
Top Bottom