Kipi rahisi kupatikana kwako kati ya hivi viwili

ushawahi kutafuta hela kiwango cha juu wewe? Kama umewahi basi jibu unalo. Usilinganishe hela na vitu ambavyo Mungu kaleta 'for free'
papuch inagharamiwa mkuu, ni mara chache sana unaweza kuipata kwa free.
 
Pesa bana,wengine madomo zege,kupata demu mpka utongoze mwaka mzima
 
"Kwa masaa 24? narudi na wanawake hawapungui kumi pesa si rahisi kama hiyo kitu bhana itake radhi pesa"
 
"Kwa masaa 24? narudi na wanawake hawapungui kumi pesa si rahisi kama hiyo kitu bhana itake radhi pesa"
duuh wanawake 10?? tisha sana, au unaish ile mitaa yetu pendwa? kimboka, sugaray ama,?
 
duuuh bangi mbaya.....yan papuchi mkononi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…