Unazipitia Za Tangu January? [emoji14] [emoji15]Kuangalia msg za madem zangu kwny simu
Mkuu, mi nikiamka asubuhi nakuta boxer inataka kutobolewa na mtu asiyejulikana. Hakuna namna, inabidi itifaki izingatiwe.Hahaha Duh ! Usiku Ana Kunyimaga Au Ndio Ratiba Aliyokupangia
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Safi Mkuu Mazoezi Kw a AfyaKwanza nafanya sala fupi....sometimes(sign of the cross inatosha)
Kisha Push up kama 50 hivi...., Stretching ya viuongo..then mambo mengine yanafuata
Wacha weee...Kuangalia msg za madem zangu kwny simu
Wacha weee...
Kumbe nami ni miongoni mwao...?Uwe unanitumia asbh
Kumbe nami ni miongoni mwao...?
Ata mimi ingawa shetani huwa ananihujumu sana...Kusali...
Habari Zenu Wakuu Vipi Na Hali Zenu !!
"PINDI Ninapoamka Asubuhi Before ya Kifungua Kinywa[emoji370][emoji13][emoji13][emoji13] Napenda Kula MA Apple Or Ndizi Hiyo Ndiyo Ratiba Yangu Kila Siku
" JE Wewe Unapenda Kufanya Nini Pindi unapo Amka?????
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app