KIPI. UNAPENDA KUFANYA UNAPOAMKA. ASUBUHI

KIPI. UNAPENDA KUFANYA UNAPOAMKA. ASUBUHI

Kwa kuwa huwa nalala bila nguo, Lazima niamke nijikague kama Niko salama huko down, then najiangalia kwenye kioo nikiridhika ndo naanza ratiba zingine
 
Habari Zenu Wakuu Vipi Na Hali Zenu !!
"PINDI Ninapoamka Asubuhi Before ya Kifungua Kinywa[emoji370][emoji13][emoji13][emoji13] Napenda Kula MA Apple Or Ndizi Hiyo Ndiyo Ratiba Yangu Kila Siku

" JE Wewe Unapenda Kufanya Nini Pindi unapo Amka?????


Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app


Natukana chadema!
 
Kwanza nafanya maombi kwa kuamka salama then naangalia kwenye friji natoa safari moja naipiga afu ndo naanza mchakato wa kuwah kibaruani
 
Back
Top Bottom