Kitandanikwetu
Member
- Jul 27, 2012
- 18
- 2
Nataka nimuone wife na kanga Moja katilia safi, Sio kavaa misuruali migumu ukimkumbatia unajisikia Kama Mtu Akupiga msasa
Nimkute my WIFE BeibeNasty keshavaaa nguo za kuogea!
Meanwhile ameweka disc ya Taarabu ! Na nyimbo yenyewe iwe imepigwa na bendi ya "Chukuchuku Modern Taarab"
Nikirudi nyumbani nikute chakula kimeiva!
Me nnachopenda kukiona nirudipo nyumbani ni kumuona my fiancee ameandaa chakula cha usiku fresh
Mi nikirudi nataka nikute remote control ya tv iko mezani nianze kuangalia sports huku napata laga ya bariiiidiiii
Hakuna kitu kizuri kama kukutana na tabasamu la mke wangu mpendwa measkron na kabinti ketu charminglady