Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?

Dawa ya mke ni mwanamke mwenzie.

Unajilia huko nje unatosheka, ukirudi home unakuwa friendly tuu, ila kwa mambo ya unyumba unauchuna kabisaaa
 
Hii ni sababu tosha kuvunja ndoa. Watu hawajui hilo.
 
Hili ni kwa upande wenu wafilipino.

Kwa waswahili kama sisi unatushaurije?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…