Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?

S
Daah, yaani mke wangu mwenyewe kakubali yeye mwenyewe kuolewa nami akiwa na akili zake timamu, majukumu yake Kama mke wa mtu anayajua haki za ndoa anazijua alafu leo nifanye kazi ya kumtongoza upya kila siku yani mimi kila siku nifanye kazi ya kutongoza tu!!!?

Yaani nitoke kazini nimechoka niko ovyo kichwani kwa stress za kazi na mizinguo ya awamu ya 5 alafu nifike nyumbani nianze kazi nyingine ya kutongoza mke wangu wa ndoa!!?

Nasemajee kazi hiyo sifanyi we Kama unahisi huo uchi ndio silaha ya kunikomoa kisa tu unajua kuwa tukilala kwa bedi lazima tu mi Kama mwanaume nitakuwa na uhitaji basi ndo utumie nafasi hiyo kunikomesha, jua kwamba sijakuoa ili uje kunikomesha na kunitesa kihisia kwenye nyumba yangu mwenyewe.

We Kama una tatizo na mimi liseme tulimalize na sio huo upuuzi wa kuniwekea mgomo ukifanya hivyo tayari ushakosa sifa za kuwa mke wa mtu na hustahili kukaa na mume tena.

Mimi ukifanye hivo ujue kabisa tunaachana asubuhi tu mapema yani, sihangaiki kutafuta mchepuko wala nini nakuacha naoa mwingine usifikiri we ndo una uchi tu peke yako dunia nzima heboo!!!

Mkuu, yaani mke wangu kabisa hizo pesa za kukupeleka kwenye mahoteli huko eti kisa hutaki kunipa unyumba si ni bora nikampe mjomba wangu huko akafanye biashara ya kuku mara kumi.
Yani nitumie gharama zote hizo kisa mke wa ndoa kagoma kutoa utamu aah waapii!! Sifanyi hicho kitu ng'o.

Akisubutu kunifanyia hivo wallah atavuna anacho kipanda

Akisubutu kunifanyia hivo wallah atavuna anacho kipanda.
Sasa kama mna watoto,,,,unafanyaje?
 
Akikubania, tafuta Siku mpitishe sehem yenye malaya, aone ulivyo easy kupala K mtaani
Akikujibu kuwa si ungekuwa unalala na hao Malaya umemuolea nini nahuku utelezi unapatika kiurahisi na malaya.
 
Utajibuje? Kununua Malaya siyo vzr, bora upige chini huyo mke uoe mwingine.
 
Angalia na upande wa pili yaweza kuwa katupiwa jini la kukukataa ili uchepuke ndoa ifie hapo
 
Back
Top Bottom