Kipi unatamani kingekuwepo kwenye nyumba yako na kipi umegundua hakina mahitaji ya lazima lakini unacho?

Nilichukua ule usemi usichukulie poa nyumba ni choo!

So nyumba yangu ya vyumba 4 vya kulala kila chumba niliweka self contened choo Ndani!

Lakini choo tunayotumia ni Moja tu master, na ya public, hizo nyingine natamani kuziondoa
 
Kwanin uviondoe??
 
-Master nzuri yenye walkin closet,
-sebule,
- jiko dogo,
-store,
-office na
-public toilet bhasi.
-Hivyo vingine ni nje jiko na makabati ya vyombo, store na kila mtoto na chumba chake, na wakifika level ya vyuo tu ada zao za hostel zitatoka vyumbani mwao navijaza mifugo hata kuku na wao waishie hukohuko! Na nimesha wapa notes kabisa wakue wakijua
 
[emoji2]
 
Dining room! Yan nawish isingekuepo maana uwa nalia mm tu chakula hapo! Wengne vyumban mara sebuleni mara barazani hata wageni wakija chakula wanapelekewa sebuleni[emoji23]
9b4c05b930f683e18326a997b3fac5aa.jpg

Dinning ingekaa hivi watu wanaeza kukulia hapo ila hizi ramani dinning inafichwa mbali na sebule zinabaki useless
 
Back
Top Bottom