Kipi unatamani kingekuwepo kwenye nyumba yako na kipi umegundua hakina mahitaji ya lazima lakini unacho?

Nilichukua ule usemi usichukulie poa nyumba ni choo!

So nyumba yangu ya vyumba 4 vya kulala kila chumba niliweka self contened choo Ndani!

Lakini choo tunayotumia ni Moja tu master, na ya public, hizo nyingine natamani kuziondoa

Sivitumiii vipo kama pambo kifupi hatuna uwezo wa kutumia nyumba nzima
Ina maana hivyo vyumba vingine viwili havina wakazi mf. watoto etc.
 
Nilichukua ule usemi usichukulie poa nyumba ni choo!

So nyumba yangu ya vyumba 4 vya kulala kila chumba niliweka self contened choo Ndani!

Lakini choo tunayotumia ni Moja tu master, na ya public, hizo nyingine natamani kuziondoa
Kwanini havitumiki au hakuna watu wa kuvitumia hivyo nyumba?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Dining room! Yan nawish isingekuepo maana uwa nalia mm tu chakula hapo! Wengne vyumban mara sebuleni mara barazani hata wageni wakija chakula wanapelekewa sebuleni[emoji23]
Inabidi uweke rules ili mabaki ya chakula yasidondoke popote. Hapo Ni wewe
 
Nilichukua ule usemi usichukulie poa nyumba ni choo!

So nyumba yangu ya vyumba 4 vya kulala kila chumba niliweka self contened choo Ndani!

Lakini choo tunayotumia ni Moja tu master, na ya public, hizo nyingine natamani kuziondoa
Mimi huwa nawaambia ndugu zangu wanaojenga wasiweke vyoo vingi kwenye nyumba lakini siku hizi imekuwa fashen.

Vyoo vingi ni gharama na hasa pale nyumba inapoanza kuhitaji matengenezo.
 
Kweli mzee baba nasikia ulikabidhiwa mikoba ya hizi mambo eti? [emoji848][emoji28]
Mimi sikuwahi kukabidhiwa mikoba wala hirizi wala tunguli na mtu yoyote yule.. Mimi kilinge changu nilikijenga mwenyewe, na nilipoamua kuachana na ulozi nikatangaza kukiuza na mteja kutoka Sumbawanga ndio alishinda tenda akabeba mzigo wote.. Sasa hivi nimebaki mweuppee peee
 
Hahaa nimekukubali mzee baba mteja kutoka Sumbawanga akakikubali kilinge chako!!🤔 ulitisha
 
Back
Top Bottom