Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
Nilichukua ule usemi usichukulie poa nyumba ni choo!
So nyumba yangu ya vyumba 4 vya kulala kila chumba niliweka self contened choo Ndani!
Lakini choo tunayotumia ni Moja tu master, na ya public, hizo nyingine natamani kuziondoa
Sivitumiii vipo kama pambo kifupi hatuna uwezo wa kutumia nyumba nzimaKwanin uviondoe??
Sivitumiii vipo kama pambo kifupi hatuna uwezo wa kutumia nyumba nzima
Hapo kwenye chumba cha maombi huwezi kusalia chumbani kwako mkuu?Siku nikijenga nyumba
1. Sebule
2. Master bedroom 1
3. Bed room 2
4. Public toilet 1
5. Chumba kidogo cha maombi/ibada
Pia jengo lingine liwe na store kubwa, chumba cha mazoezi na jiko
Dining room! Yan nawish isingekuepo maana uwa nalia mm tu chakula hapo! Wengne vyumban mara sebuleni mara barazani hata wageni wakija chakula wanapelekewa sebuleni[emoji23]
[emoji2]-Master nzuri yenye walkin closet,
-sebule,
- jiko dogo,
-store,
-office na
-public toilet bhasi.
-Hivyo vingine ni nje jiko na makabati ya vyombo, store na kila mtoto na chumba chake, na wakifika level ya vyuo tu ada zao za hostel zitatoka vyumbani mwao navijaza mifugo hata kuku na wao waishie hukohuko! Na nimesha wapa notes kabisa wakue wakijua
[emoji3526][emoji2]
Kuwa na masimamo. Wote chakula dinning room.Dining room! Yan nawish isingekuepo maana uwa nalia mm tu chakula hapo! Wengne vyumban mara sebuleni mara barazani hata wageni wakija chakula wanapelekewa sebuleni[emoji23]
Dining room! Yan nawish isingekuepo maana uwa nalia mm tu chakula hapo! Wengne vyumban mara sebuleni mara barazani hata wageni wakija chakula wanapelekewa sebuleni[emoji23]
Hahahah hatar sana hii kitu ni kweli wakati mwingine aiseeeDining room! Yan nawish isingekuepo maana uwa nalia mm tu chakula hapo! Wengne vyumban mara sebuleni mara barazani hata wageni wakija chakula wanapelekewa sebuleni[emoji23]
Unatakua kusema chakula hua unasevu chumbani,dinning pia ni sehemu kwa ajili ya kusevu msosi,au ndio mnapakuliana jikoni[emoji2]Hahahah hatar sana hii kitu ni kweli wakati mwingine aiseee