Kipigo cha Al Ahly kwa Simba ni fedheha kwa wachambuzi maandazi waliojazana hapa nchini

Kipigo cha Al Ahly kwa Simba ni fedheha kwa wachambuzi maandazi waliojazana hapa nchini

Mkuu mpira hauko hivo...El Mereikh
sio ya kuibeza!
watakuja kivingine kabisa!
Hicho unakiita kisaikolojia watakuwa wanataka ushindi kwa nguvu sana! Baadaya kupoteza mbili....kumbuka hata wao ...kimehasabu bado wanaweza kufuzu!
El Mereikh Soo wa kuwabeza eti ni mataokeo ya soka wakati mwingine huwa hayaeleweki!
Simba aingie kucheza na ElMereikh kwa heshima na tahadhati kubwa Sana ,otherwise tunaweza kusshangaa!
Ahli ni lazima afe na vita mechi ijayo, na sisi tufe na msudani mechi ijayo cause tumepata confidence kubwa sana hii leo yaani tumpige vita kwake na ahli halafu tushindwe kumchapa msudani.. wasudani wenyewe wameshakubali kupoteza kisaikolojia kabla ya mechi.. huwenda tukawa timu ya kwanza kufuzu robo fainali, naamini point 9 zinatupeleka
 
Nchi nyingine wachambuzi ni wachezaji wastaafu/malejendi na wana badge za fifa kwenye ukocha ndio maana wanachokitabiri mara nyingi huwa kinafanana na matokeo baada ya mechi.

Hawa wa kwetu hawajaenda shule yoyote ya mpira ndio maana utabiri wao huwa ni negative na matokeo halisi. Mechi za nje Huwa wanakwenda kusoma uchambuzi wa kina paul shcoles, neville, rio, lampard, callager, bwalya, v boaz, giggs, owen, mourinho, evra na wengine wengi halafu wanakuja kutafsiri na kubwabwaja kwenye show zao na matokeo hayapishani kwa mechi za nje, sasa hizi mechi za caf hazina uchambuzi wa masoccer guru wa nje kwahiyo inawabidi hawa wabongo watabiri wenyewe na ndio hapa upumbavu wao unapojianika
Juzi Kiemba akihojiwa alisema Simba anashinda ,wachambuzi wao wanasema Al Ahly anashinda ,kweli wachezaji ndo watoe maoni siyo watu ambao hata hawajapitia ndondo cup
 
Yan wachambuzi wetu hawana aibu kbs, jana nawasikiliza wamegeuka kuisifia simba kinafki..
 
Haikutegemewa kivipi. Gemu ilishaonekana simba akikosa sana ni droo
Hapa hakukuwa na jinsi nyingine zaidi ya mwarabu kuloweshwa
JamiiForums-1759004736.jpg
 
Badilisha kichwa (heading au title): ni kipigo cha Simba kwa Al Ahly. Si kipigo cha Al Ahly kwa Simba. Simba ndio iliyotoa kipigo!
Ilikuwa ni kero kuwasikiliza mara nyingi wakikumbushia goli 5 wao wakiziita hamsa. Hakuna aliyejali ushindi wa Simba na pointi 3.

Sasa leo najua itakuwa fedheha sana kwao kwani hawatakuwa na lolote against Simba. Ila nijuacho ni suala la muda wa siku tatu tu wataanza kukumbushia mechi ya marudiano. Hawajui kuwa Simba ana point 6 na anaongoza kwenye kundi. Wao wana ushabiki wa ndondo wa kufungana tu bila malengo.

Ushindi wa Simba na utaleta fadhaa sana kwa wachambuzi utopolo waliojaa kwenye vyombo vya habari.
 
Kwa kipindi hiki cha miezi mitatu niliyopo Tz,nimekuwa nikifuatilia sana vipindi vya michezo vya vituo vya radio na runinga,lakini niseme ukweli Tanzania hakuna wachambuzi wa soka kabisa,ni wachafuzi na wapiga ramli tu.
 
Mkuu mpira hauko hivo...El Mereikh
sio ya kuibeza!
watakuja kivingine kabisa!
Hicho unakiita kisaikolojia watakuwa wanataka ushindi kwa nguvu sana! Baadaya kupoteza mbili....kumbuka hata wao ...kimehasabu bado wanaweza kufuzu!
El Mereikh Soo wa kuwabeza eti ni mataokeo ya soka wakati mwingine huwa hayaeleweki!
Simba aingie kucheza na ElMereikh kwa heshima na tahadhati kubwa Sana ,otherwise tunaweza kusshangaa!
Ukweli upo pale pale, kuvuka group stage ni hesabu za mezani kwanza ukibugi umepotea. Tunatakiwa kupigana kufa na kupona tupate point 4 kutoka kwa merreikh Ili tuingie robo fainali kwasababu kuna uwezekano mkubwa ahli na vita wakabeba points zote 6 kutoka kwa merreikh na hizi mechi nyingine wakaokoteza. Vita ni timu kubwa na ina uwezo wa kutupiga home, hatutegemei kushinda au draw kwa ahli akiwa nyumbani.

Man utd imeondolewa uefa kwasababu walipoteza mechi nyepesi ambayo hata draw tu ingefaa lakini wakapoteza kule uturuki na wenzake leipzig na psg walibeba points zote 6 zilizowavusha kutoka kwa mturuki, man akabaki na 9 na hazikutosha kumvusha.
 
Juzi Kiemba akihojiwa alisema Simba anashinda ,wachambuzi wao wanasema Al Ahly anashinda ,kweli wachezaji ndo watoe maoni siyo watu ambao hata hawajapitia ndondo cup
Wale wanaotangaza mpira nje na niliowataja juu na unaowaona espn, sky sports, bt sports, bein sports pamoja na kuwa ni wachezaji pia wamemaliza na kupata leseni za ukocha fifa kwa ngazi za juu. Ukienda kuomba kazi ya uchambuzi/kutangaza mpira unatuma na vyeti vya ukocha. Angalia tofauti ya kipindi cha kipyenga cha mwisho cha ot kazi na hao kina dauda, kitenge
 
Back
Top Bottom