Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
CCM hawawezi upinzani, si wapambanaji, hwawezi kubaki ccm, walizoe kubebwa na dola, wao wenyewe hawezi kusimama. CCM inafuata nyayo za UNIP na KANU.Na hakuna kitachobadilika kutoka sasa...vita mbele...tutahakikisha bendera ya ccm inakuwa ya upinzani daima!
CCM iko ICU na aliyeiua ni mkwere.
Haya ni matokeo ya Kikwete kuleta urafiki na nani alinisaidia wapi. Nawasihi viongozi wa CCM achaneni na huyu jamaa ameshaua chama jipangeni, na sasa kuna vilaza wake ambao wanalia apate iti ili awahurumie, serikali ya kuhurumiana mpaka lini???? watu sasa hivi wamejitosa wengi kwenda kumpigia kampeni na bado kashindwa ili wapewe ukuu wa wilaya. ni ushauri wa bure kwa mnaopenda nchi.
Mwisho wenu umefika naomba Mungu awape maisha marefu ili cha moto mkione.