kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #21
Wewe kaka unajua mpira na unaongelea mpira na unajua mpira sio kama kisugu na mzaramo. Ili uisaidie timu yako lazima uiambie kweli bila kujali wengine wataaema nn. Gamondi tulimsema kujusu kung'ang'ania Wachezaji walewale kila mechi, ametuelewa na mafanikio anayaona. Timu inahitaji pts 3 sio lazima magoli mengi. Gamondi alikuwa anapanga Wachezaji wa magoli mengi TU na kusababisha uchovu kwao.Wanapatikana wa kuweka kikosi sawa
Halafu onana is not a bad player ni mchezaji mzuri sema hachezi mpira tunaoutaka sasa same goes to phiri na miqquison
Tunahitaji possesion ili wale vijana waperform timu imegawanyika kuna wachezaji hawafit mfumo