Wewe kaka unajua mpira na unaongelea mpira na unajua mpira sio kama kisugu na mzaramo. Ili uisaidie timu yako lazima uiambie kweli bila kujali wengine wataaema nn. Gamondi tulimsema kujusu kung'ang'ania Wachezaji walewale kila mechi, ametuelewa na mafanikio anayaona. Timu inahitaji pts 3 sio lazima magoli mengi. Gamondi alikuwa anapanga Wachezaji wa magoli mengi TU na kusababisha uchovu kwao.Wanapatikana wa kuweka kikosi sawa
Halafu onana is not a bad player ni mchezaji mzuri sema hachezi mpira tunaoutaka sasa same goes to phiri na miqquison
Tunahitaji possesion ili wale vijana waperform timu imegawanyika kuna wachezaji hawafit mfumo
Lazima tutamrudisha hatuwezi kushinda bila chamaMashabiki wa simba unganeni kuhakikisha Chama anarejeshwa kikosini. Yule Onana hawezi kuwafikisha kokote na yale magoli yake mawili ya kubahatisha kwenye ile mechi dhidi ya Wydad.
Miso misondo , ukweli timu hii inamuumiza Ahmed Ally zaidi kuliko mtu mwingine. Twende na uhalisia huwezi kumfunga Kagera sugar magoli machache halafu unapoga kelele kuwa timu imebadilika. Wydad ni kama pombe ya ngomani kila mtu anajichotea halafu mtu anajisifu kuwa timu imebadilika. Tuache kujitekenya wenyewe.Ningeshangaa Kama usingeandika kitu.
Mpaka leo najiuliza yule muhun alifungaje zile goli.Mashabiki wa simba unganeni kuhakikisha Chama anarejeshwa kikosini. Yule Onana hawezi kuwafikisha kokote na yale magoli yake mawili ya kubahatisha kwenye ile mechi dhidi ya Wydad.
Si ndiye aliyewapeleka hatua ya makundi CAF?Mchango wake kwa sasa hautushawishi wanasimba hivyo tunamtakia Maisha mema huko aendako.
Yaani wiki ijayo wangekutana na Simba wangepasuka tena hawa.Wachezaji wa Simba waliweka vifurushi vya jero kwaajili ya ujio wa kocha mpya, vifurushi vimeisha tabu imerudi palepale. Overhaul ndio jibu.
Makambo had proved before that he was a real goal getter.Young Africans capitalized on that record though it did not work .When Makambo did not perfect that ,the doors were opened for him to exit.Mlivyomrudisha Makambo ilikuwa ni kwa sababu makambo ni mkubwa kuliko yanga?
Umeandika upuuzi...
Tunajidanganya kuwa hakuna mchezaji aliyeko juu ya timu. Sio kweli; Messi, Ronaldo, Mayelle, Chama, Aziz, mbappe ...... walikuwa juu ya timu kwa muda (moments) wao.Makambo had proved before that he was a real goal getter.Young Africans capitalized on that record though it did not work .When Makambo did not perfect that ,the doors were opened for him to exit.