green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Hezbollah wanataka hii kauli ili walianzisheSasa itakuwaje, labda Trump aingie madarakani.
Trump akiingia madarakani,ataanzisha ubalozi wa israel nchini labanon.Sasa itakuwaje, labda Trump aingie madarakani.
⚠️BREAKING NEWS⚠️Siku sio nyingi utasikia kilio ety Israel wanauwa wanawake na watoto 😂
Inapendeza⚠️BREAKING NEWS⚠️
🇮🇱🇱🇧 Hezbollah attacked Israel this morning with about 150 rockets. Mount Meron and the air control base are burning.
Kumbe we jamaa upo unasoma nyuzi kimya kimya huku ukiugulia maumivu😂Siku sio nyingi utasikia kilio ety Israel wanauwa wanawake na watoto 😂
Kwahio wakiua watoto wasiambiwi kweli wazayuni wa jf mna matatizo kwel kwelSiku sio nyingi utasikia kilio ety Israel wanauwa wanawake na watoto 😂
Trump anapenda amani sana. Ubabe mwingi wa maneno, ila lengo lake ni kuweka legasi ya uchumi mzuri duniani.Trump akiingia madarakani,ataanzisha ubalozi wa israel nchini labanon.
Hawa Hezbollah inaonekana walizaliwa vitani, maana wanavyotafuta kwa nguvu mtifuano na Israeli. Duh⚠️BREAKING NEWS⚠️
🇮🇱🇱🇧 Hezbollah attacked Israel this morning with about 150 rockets. Mount Meron and the air control base are burning.
Kwahy unataka bomu likirushwa lichague watu wa kuua, nyie wala kitimoto kwa siri kwan mkirusha bomu kwenda Israel hua mnaua wanaume tuu? Na kama mnaua wanaume wa Israel tuu bc na nyie jifunzeni kuwalinda hao wanawake na watoto wenu ili wasiuawe na mabomu ya IsraelKwahio wakiua watoto wasiambiwi kweli wazayuni wa jf mna matatizo kwel kwel
Ni kweli ila nakumbuka,alikuwa rais wa kwanza wa marekani kuweka ubalozi wa marekani Yerusalem kitu kilichozua mtafaruku,subiri aingie ndo utaelewa.Trump anapenda amani sana. Ubabe mwingi wa maneno, ila lengo lake ni kuweka legasi ya uchumi mzuri duniani.
Sasa mm niko Mbeya - Mbalizi mabomu yanarushwa Israel huko sasa maumivu yap hayo unazungumziaKumbe we jamaa upo unasoma nyuzi kimya kimya huku ukiugulia maumivu😂
Anamuogopa huyu Ayatollah balaaNetanyahu kumbe yupo, mbona siku hizi simsikii sana sana?