uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Nakumbuka sababu waliyoitoa ni kwamba asitishe mapigano kule gaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka sababu waliyoitoa ni kwamba asitishe mapigano kule gaza.
kwani Gaza kuna ,,jeshi,,lenye silaha na ndege za vita za kupigana na israel?Israel angekuwa mnyonge kiasi hicho nchi za kiarabu zingekuwa zimesha mvamia na kitwanga lakini Israel ni moto ulao mji wa Gaza umebaki Magofu kila familia ni vilio, sera za Israel hazibadiki hakuna siku ambayo waziri mkuu ataingia halafu asema nataka tuunde mataifa 2 . Tena atakapoingia Beny Gantz ambaye ni mtu wa vita nchi za kiarabu zitajuta, huyo amezaliwa na kukulia Israel tofauti na Netanyahu mtu wa USA.
Wame exaggerate figures Ili wapate world sympathyUssr wakati wanapambana na hitler inasemekana walikufa kama watu 20M
Kufa sio kuzuri ila kuna muda haki haiji bila vifo kutokea
Kiongozi mwingine wa hezbollah jana kalambishwa mchanga[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Baada ya Israel kupata kipigo cha Paka mwizi na Waziri wa Ulinzi amekoswa kulambishwa mchanga na drone za Hezbollah sasa Netanyahu katoa mlio wa uwoga[emoji23] kua anataka kuanzisha vita na Hezibollah
[emoji3544]BREAKING NEWS[emoji3544]
Israeli PM natanyahu:
This is right time to punish Hezbollah. We will not bear more damage . We will soon start military operations against Hezbollah