Kipigo cha leoTayari Netanyahu katoa mlio

Kipigo cha leoTayari Netanyahu katoa mlio

Vita na hizbullah ni mtego mkubwa kwa israel,nchi za kiarabu zitapeleka wanamgambo wengi,upande wa hizbullah ili kulipa kisasi cha israel ilichofanya gaza.
Ingawa vita itakuwa kubwa na kali sana,mwisho wa siku israel atashinda,na huenda lebanon ikakaliwa baadhi ya maeneo kinguvu..
Profesa wa agano jipya😀😀😀
 
⚠️BREAKING NEWS⚠️

🇮🇱🇱🇧 Hezbollah attacked Israel this morning with about 150 rockets. Mount Meron and the air control base are burning.
Wakianza kuwachapa lakini msianze kulialia ooho hamchelewi Mwanzo mnachekelea Mwisho mnaanza kulia
 
Waarabu koko wameanza vitisho kama kawaida. Hao magaidi wa Hezbollah wanajipanga kukimbilia kujificha kwa wanawake na watoto kama ilivyo ada lakini hamna namna kwa sababu vita havina macho wakufa itabidi afe tu.
Wanaenda kujifichia kwa Wanawake na Watoto 😆
 
Vita na hizbullah ni mtego mkubwa kwa israel,nchi za kiarabu zitapeleka wanamgambo wengi,upande wa hizbullah ili kulipa kisasi cha israel ilichofanya gaza.
Ingawa vita itakuwa kubwa na kali sana,mwisho wa siku israel atashinda,na huenda lebanon ikakaliwa baadhi ya maeneo kinguvu..
Ni ngumu!

Ukifuatilia historia ya mapambano yao na kwa zana alizonazo Hizbullah kwa sasa wote watachakazana. Hakuna atakayebakia mshindi.

Kama Israel ipo tayari kwa hiyo sacrifice ngoja tuone.
 
Wakianza kuwachapa lakini msianze kulialia ooho hamchelewi Mwanzo mnachekelea Mwisho mnaanza kulia
Safari hii wenzake wamemwambia hawatashambulia miundombinu ya kijeshi tu ya Israel bali nao watashambulia makazi ya raia kama Israel inavyofanya. Yaani wamemwambia wazi kuwa hatutofuata sheria za vita za kimataifa.

Tafsiri yake ni kwamba akipiga makazi ya raia Lebanon na wao wanapiga makazi ya Israel vilevile.

Sasa hii kwa Israel ni mwiba! Kwa sababu kipindi chote Israel ndiyo ilikuwa ikifanya hivyo na hakuwa mwenye kuchukulia hatua zozote ili hali wenzake walikuwa wakizifuata kwa kuogopa hatua zitakazochukulia na jumuiya za kimataifa. Ila kwa sasa wamemwambia safari hii na sisi tutaua raia wako.

Hivyo kama kilio kitakua kwa pande zote.
 
Trump anapenda amani sana. Ubabe mwingi wa maneno, ila lengo lake ni kuweka legasi ya uchumi mzuri duniani.
Marekani kazi ya Rais ni ku maintain illusion ya democracy, huyo taira Biden au Chizi Trump sio wanaoongoza Marekani
Military industrial complex na network yao ya multinational big cooperations, bankers na assets management firms kama BlackRock ndio wanao decide sera za ndani na za nje za Marekani....ile ni nchi ya kibepari kwa 105%
 
Hivi huyo hajui sababu gani Hezbollah kaingia vita na Israel 😄

Hajui Hezbollah kwanza ni adui mkumbwa wa Israel hawana urafiki hilo la kwanza.

Hezbollah kaingia vita sababu kaona Israel ame cross red line, hio genocide anayo fanya nani atakubali.

Isipokuwa awe bwege tu ndio atakubali, na Hezbollah sio bwege, kasema wazi asimamishe hio genocide ndio na yeye atasimamisha vita.

Exactly kama Al Houth, wamewambia wacheni chakula kingie Gaza, na sisi ndio tutawachia meli ziende Israel.

Hezbollah 💯 wasinge ingia kwenye hio vita, kama Israel anapigana na wanamgambo wa Hamasi bila kufanya genocide, sababu anafahamu wazi Israel hawezi kuwashinda Hamasi.
 
Marekani kazi ya Rais ni ku maintain illusion ya democracy, huyo taira Biden au Chizi Trump sio wanaoongoza Marekani
Military industrial complex na network yao ya multinational big cooperations, bankers na assets management firms kama BlackRock ndio wanao decide sera za ndani na za nje za Marekani....ile ni nchi ya kibepari kwa 105%
Katika viongozi wa USA Trump has a gut to say no.
 
Marekani kazi ya Rais ni ku maintain illusion ya democracy, huyo taira Biden au Chizi Trump sio wanaoongoza Marekani
Military industrial complex na network yao ya multinational big cooperations, bankers na assets management firms kama BlackRock ndio wanao decide sera za ndani na za nje za Marekani....ile ni nchi ya kibepari kwa 105%
You've a point. But it matters a lot who is at the top.

Don't tell me, had Trump won his second term, Ukraine-Russia war would have broken out anyway.

You should also notice that those self-styled world prefects are not always accurate in predicting (plan-execute) world events.

They have a part to play - that's fulfilling some grand, gigundous mission, which is, by the way, not of their own.
 
Hakuna kinacho change...sera za Marekani always zinakua decided na kundi hilo hilo moja, na hakuna contradictions kwenye plans zao, ni approachs ndio zina differ

Wakati wa Biden wame try approach ya ku attack Russia kwanza then China, Wakati wa Trump wali try kuwa rafiki kwa Russia na North Korea ili wa attack China, thus why Trump alikua so anti China huku trips za kinafiki kwenda Russia na North Korea..... Russia na China ina watu smart enough kuto fall kwenye hio danganya toto

Kama kuna watu walikua bado wanaamini Marekani, Rais somehow ana influence kwenye sera za Marekani nambie nani ana rule wakati huu wa Biden wakati Biden ni clearly ana severe mental health problem
 
Endelea kujipa moto wakati Wayahudi wenzako wanachomwa singe za makalio
Magaidi zaidi ya 500 yanafaidi mabikira huko peponi. Sasa myahudi akiingia mazima itakuaje?!
 
Attachments

  • IMG_4964.jpeg
    IMG_4964.jpeg
    374.3 KB · Views: 2
IDF wamekufa wangapi maana wao israel hata gari imebebwa wanajeshi tupu ikipgwa kombora yote ikatekea utaambiwa kajeruhiwa mmoja tu wengine wote wazima
Tupe wewe hiyo idadi ya waliokufa. Maana inaonekana unajua zaidi ya IDF
 
Back
Top Bottom