Kipigo cha Mwizi (Tahadhari kama una roho nyepesi usifungue)

Kipigo cha Mwizi (Tahadhari kama una roho nyepesi usifungue)

sidhani kama bado anlistahili kuwa na fahamu zake hapo....
bado wanasubiri PF 3
 
hii ni brazil mkuu, angalia label ya m-soldier begani.

............. askari wa brazil, helmet haina chata! ............. kama ni risasi itakuwa imepigwa upande gani ? ili ivumue mbele lazima ipigwe nyuma .... na nyuma asinge sarvive hivyo (modula oblangata ) very confusing !:disapointed:
 
Jamani hebu iondoeni hiyo picha, wekeni link tuu.

Kwa kweli inatisha sana.
 
mi nawaza tu akipona takuwaje huo uso. na kama ana mke jamaa ndio kapona anataka mchezo kwenye taa. lol mungu amsaidie jamani
 
Haiwezekani akawa mwizi huyo jamaa,haiingii akilini kuwa alikuwa akipigwa eneo hilo la uso tu.
 
Back
Top Bottom