Ukiiangalia vizuri mechi hii unaona kabisa kocha wetu sidhani kama yupo vzr.
Tshabalala siku hiyo alikuwa uchochoro kuliko hata Israeli kama ambavyo watu wetu wanamlaumu. Tshabalala goli la pili wenzake waliweka mstari kutengeneza offside trick yeye akarudi nyuma. Hii ni kutokuwasiliana vizuri kwa beki za SImba. Beki hutakiwi kupitwa kizembe kama Tshabalala siku ile
Ukiachana na hilo kocha kumtoa kanoute ni kosa kubwa sana. Kanoute alimudu vzr kuziba nafasi pale Inonga na Tshabalala wakienda mbele. Kumuanzisha kyombo ambaye mkimbio yake mingi haitengeneze nafasi ya yeye kupewa mipira.
Kocha huyu inabd awe makini sana ktk kupanga timu, SIMBA WACHEZAJI wazuri wapo tatizo namna gani tunawatumia hii ni kazi ya yake sasa kuhakikisha timu inaoperate vzr. Mkude amechoka wa kuweka benchi kwa sbb harudi kusaidia kukaba kama mchezaji wa ktk ya uwanja hili ni kosa kubwa kwake. Ili Simba itembeee MSIMU huu mi nashauri tuoperate na KANOUTE + AKPAN siku zingine ikibd + KAPAMA kuipa nguvu simba katika hasa hasa tukiwa mechi za away viwanja vibaya inabd kuwazoesha akina kapama.
SIMBA NGUVU MOJA