makilo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 2,620
- 5,260
Wakuu kwema?
Kuna Jambo linaendelea kwenye mitandao yakijamii kuhusu kupoteza kwa mchezo wa Simba taifa. (kwa mkapa hatoki mtu).
Wakuu kwa wanasimba wenye Bongo timamu wanatambua tunapitia kipindi cha mpito. Hasa baada yakufanya usajili mpya kwa wachezaji zaidi ya wa 4 wapya.
Timu bado inahitaji muda, timu bado inahitaji kushibana (japo Kuna Mambo ndani hayapo sawa Ila hiyo mashabiki sio kazi yetu).
Wakuu wanamsimbazi wenzangu sitaki kuwachosha kukerana maumivu tunayopitia Simba ni mala 100 wanayopitia yanga. Maana waliamini mwakani tutawabeba tena 😂😂😂😂 kitendo cha kutolewa na kuangukia shirikisho na Simba kuamua kutulia na kuwaambia wachezaji wao kuhusu matokeo matatu ya mpira na kuamishia nguvu kwenye ligi ni pigo kubwa sana kwa vyura migongo wazi. (maana Simba haitaki tena Mambo yakuzibeba timu 3 kila mtu apambane na Hali yake na Yanga anajua kabisa bila Simba hawezi).
Wanamsimbazi wenzangu huu sio wakati wakulaumiana na kuvulugana.muhimu tucheze mechi zetu hakuna kipindi kigumu chakushikama kama. Sasa mana wachezaji wetu wanenda kupambana zidi ya milioni 20 wanazopewa timu pinzani ili watuvunje miguu, viuno, shingo na hata mikono kama pinzani wakipata nafasi.
Nasimama na chama langu naimani na chama langu, tunafurahi pamoja tunahuzunika pamoja..
Yanga,Azam na wengine kila mtu ajibebe Sasa.