Kipigo cha Yanga dhidi ya Tabora United chatumika darasani Wanafunzi kujifunza kusoma

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Doh! Sio Mchezo

Kipigo cha Yanga dhidi ya Tabora United cha bao 3-1 kimetumika darasani kama somo la kusoma kwa wanafunzi wanaojifunza Kiswahili.

Soma, Pia: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Katika video iliyosambaa, wanafunzi wanaonekana wakitumia sentensi za makosa yaliyotokea wakati wa mechi hiyo kama sehemu ya mafunzo yao. Wakati huo huo, ndani ya klabu ya Yanga kuna fukuto zito kuhusu mstakabali wa kocha wao, Gamondi, hasa baada ya kipigo hicho kuwapa mabingwa hao wa kihistoria.
Your browser is not able to display this video.
 
Mwalimu anatakiwa awape hao wanafunzi zawadi ya asali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…