Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Leo tena,Brazil imenyukwa na Uholanzi. Hadi naingia hapa ilikuwa mbili bila. Uholanzi wametwaa nafasi ya tatu na Brazil ya nne.
Argentina ya Messi haikufungwa na Uholanzi. Argentina ni imara sana. Ujerumani na Uholanzi kuifunga Brzil mfululizo kunaonyesha kuwa Brazil ni mbovu na si kwamba wapinzani wake wanatisha.
Messi ataiongoza Argentina kutwaa kombe la dunia kwa mara ya tatu. Ujerumani ni wa kawaida sana. Go Argentina...Go Messi...