Kipigo kingine kwa Brazil chadhihirisha ubora wa Argentina

Kipigo kingine kwa Brazil chadhihirisha ubora wa Argentina

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Leo tena,Brazil imenyukwa na Uholanzi. Hadi naingia hapa ilikuwa mbili bila. Uholanzi wametwaa nafasi ya tatu na Brazil ya nne.

Argentina ya Messi haikufungwa na Uholanzi. Argentina ni imara sana. Ujerumani na Uholanzi kuifunga Brzil mfululizo kunaonyesha kuwa Brazil ni mbovu na si kwamba wapinzani wake wanatisha.

Messi ataiongoza Argentina kutwaa kombe la dunia kwa mara ya tatu. Ujerumani ni wa kawaida sana. Go Argentina...Go Messi...
 
full time Brazil 0-3 Netherland, brazil wazidi kuwa kichwa cha mwendawazimu wa kombe la dunia
 
Wala Argentina haijakamilika kabisa bila messi. Ujerumani ipoa fit kila idara.
Ila napenda kikombe kiende argentina.


The king.
 
Atakaye bashiri kushinda kwa Argentina ndiye atakaye pata bingo.Ushindi kwa Ujerumani uko wazi, japo chochote kinaweza kutokea.

Ujerumani wana roho saba.Argentina, roho moja;Messi.
 
Argentina yenu huwa ni mbovu tu siku zote.

Mesi naye ni walewale.
Huyu
IMG-20190703-WA0019.jpeg
 
Back
Top Bottom