amaahh!!!! he he he!!!!!Yaliyomkuta marehehemu Chacha .. baada ya kumuona live Balali USA unayajua wewe?
self defense labda nchi za wenze2 broda,sana sana utakaa custody miaka 15 ukisubiri uchunguzi ukamilike!!Self Defense Is NOT A CRIME......go ahead and du ze needful broda
nadhani hapo mawe hayuzwi!:loco::loco:mimekubali mawazo ya wengi ni kuua yeye, lakini je kama ndiyo ilikuwa risasi ya mwisho unafanyeje ile ya kumpiga swala ambayo iliua mtu?