Jagood
JF-Expert Member
- Aug 15, 2016
- 2,141
- 2,388
Umenifurahisha sana mkuu[emoji3] wacha nicheke tuukuna watu mpo rough aisee,sasa ww sijui daftari lako la darasani lilikuwaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenifurahisha sana mkuu[emoji3] wacha nicheke tuukuna watu mpo rough aisee,sasa ww sijui daftari lako la darasani lilikuwaje[emoji23][emoji23][emoji23]
hahaha c umejionea lakin hata kunyoosha mstari tuu ni tatzo mpka arudie rudieUmenifurahisha sana mkuu[emoji3] wacha nicheke tuu
Basi sawahahaha c umejionea lakin hata kunyoosha mstari tuu ni tatzo mpka arudie rudie
Jibu na yale mengine yaliyoongezwa
Jibu na yale mengine yaliyoongezwa
Haha.![]()
Mkuu swali,
Swali namba 2, jibu ni 5. Naomba usinitag tena ukiongeza maswali mengine. Nna tatizo moja, swali likinishinda naacha kila kitu, sasa hiyo inanipotezea muda nakosa raha siwezi kufanya kitu kingine..hahahahahahaaaa
Nakumbuka shule ilikua swali likigoma, ntalala naliwaza naweza kuota nalisolve, nikishtuka naamka kulifanya tena.
Kwenye maisha hiyo kitu sio nzuri sana, lazima ujifunze kuachilia mambo, kuna mengine yatakushinda, fanya yale unayoyaweza jitahidi kadri uwezavyo lakini usilazimishe sana ukapoteza muda na rasirimali zingine.
Shukran
Haha.
Mimi yalinishinda pia...
Sema napenda pia changamoto..
Usijali bro... Ila nitakua naongeza mengine siku ukiwa free pita unoe akili hapa
Mwenyewe changamoto napenda sana.. Inaumiza sana ukashindwa kuchallage inakuwazisha mnoNatania kaka, napenda sana changamoto za chemsha bongo. Sema tatizo ndio hapo inapogoma. Yaani hata nikisahau jambo, itanisumbua sana hafi ntakapokumbuka.