Kipimo cha akili kwa mtanzania ni mjadala wa mechi ya dabi

Kipimo cha akili kwa mtanzania ni mjadala wa mechi ya dabi

pamba boy

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
252
Reaction score
392
Yaani tangu May 8 wanasema hawachezi Kwa msisitizo,wamekuja na matakwa yao manne yatimizwe lakini hakuna hata Moja lililotekelezwa,

Leo maamuzi ya rais ya 25 June mechi ichezwe mashabiki yote ya yanga yanafurahi sijui ni kipi kimetekelezwa,yamepost Hadi mitandao yao yote lakini simba wako kimya Kwa maana ya kutafakari!

Kama hizi ndiyo akili za mtanzania,inawezekana mtanzania akawa binadamu wa kwanza Kwa ujinga!
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Simba wametulia kwa sababu ya kauli yao ya jana, kuwa hawatocheza tarehe tofauti na hii ya keshokutwa 15/06. Hawawezi kubishana na maamuzi ya raisi wa nchi.
Hata Yanga tulishasema hatutocheza tarehe tofauti na ile March, 08 ila ndo hivo maamuzi yameshatoka na labda msilete timu uwanjani hiyo tar 25 tena sijui ataamua Trump 😁

#Oktoba tunatiki 😎
 
😂😂 Derby ya trh 25 haina kipengere labda mkilete wenyewe!!. Viingilio vitatangazwa. Kama wana ubavu wasicheze!!. Yanga hata kama hatapata yote waliyoyata lkn imekuwa fundisho na pakuanzia kufuata sheria na kanuni!!. Nje ya watu kuitwa kwa mwenye mamlaka makubwa kuliko katiba(Rais) yanga isingecheza.
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
Huyu kocha aliona mbali sana ila nahisi hata viongozi wetu ni wale wale tu
 
Hii taarifa mnayo au mnaleta upumbavu tu humu
1749839871255.jpg
 
Back
Top Bottom