Kama wewe unavyofanania tu mkuu"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Simba wametulia kwa sababu ya kauli yao ya jana, kuwa hawatocheza tarehe tofauti na hii ya keshokutwa 15/06. Hawawezi kubishana na maamuzi ya raisi wa nchi.Yaani tangu May 8 wanasema hawachezi Kwa msisitizo,wamekuja na matakwa yao manne yatimizwe lakini hakuna hata Moja lililotekelezwa,
Leo maamuzi ya rais ya 25 June mechi ichezwe mashabiki yote ya yanga yanafurahi sijui ni kipi kimetekelezwa,yamepost Hadi mitandao yao yote lakini simba wako kimya Kwa maana ya kutafakari!
Kama hizi ndiyo akili za mtanzania,inawezekana mtanzania akawa binadamu wa kwanza Kwa ujinga!
Huyu kocha aliona mbali sana ila nahisi hata viongozi wetu ni wale wale tu"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
ngoja tuoneHii taarifa mnayo au mnaleta upumbavu tu humuView attachment 3367249
Uone nini na taarifa inasomeka hapongoja tuone