Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Inaonekana wazi hujui siasa ni nini wewe.Kuchapa kazi sio kutembea na makamera ukijijenga kisiasa kwa manufaa yako ya baadae..
Kuchapa kazi ni strategies na sio kelele na lopolopo. Mambo mengine yanamalizwa kiutendaji nje ya kamera sio lazima uoneshwe kwenye kamera ukichimbia watu wazima mikwara. Tena nyingi ya sinario kama hizo unakuta makosa sio ya watendaji wa mradi bali hazina kuchelesha pesa.
Wewe ungefurahi utishiwe na uitwe mzembe mbele ya cameras bila kupewa muda wa kujitetea Tanzania nzima ikuone??
Inaonekana wazi hujui siasa ni nini wewe.
Politics is all about perception,
how people perceive you as a good politicians? ni kwa kutumia means zote hizo ulizoziponda. Viongozi waliokuwa na perception kama yako such as Mzee Warioba, ambaye akiwa PM aliwahi kuulizwa kwa nini hafanyi ziara mikoani, akajibu kama ulivyosema kwamba yeye kutenda si lazima aonekane, ndiyo hao waliopotea kisiasa wakiwa bado wabichi kabisa.
Na mwishowe akazabwa vibao na kijana mshenzi kabisa.
Hujanielewa. nimekupa tafsiri ya mwanasiasa. sijasema kupiga kelele ndiyo kuchapa kazi. wana ccm miaka ya hivi karibuni wamekuwa hivyo kwa sababu kila mtu anataka aonekane ili ulaji uendelee and possibly apate nafasi ya juu.Kwahiyo wewe unachagua nini? Kufanya ziara na kujipendekeza mbela ya cameras huku matokeo sifuri au kufanya kazi bila macamera na ukadeliver??
Bashungwa kawaacha manaibu wake wafanye role zao, Leo Silinde yuko huku kesho Festo yupo kule yeye yupo na kazi nyingine na ufatiliaji pale Wizarani. Sio yule kutwa kucha yeye tu ndio anatembea huku Naibu zake kawapiga lockdown.
By the way, Bashungwa kasoma US hawezi kuwa na tabia na uroho wa kishamba kama huyo mshamba wa Kisarawe aliyeoa wake wanne. Lazima achakalike kujitembeza apate per diem na bahasha za MaDED aendeshe familia zake..
Hayo makerere mbona hatukuyasikia kwenye mawaziri wa Tamisemi enzi za Kikwete na Mkapa,,Jaffo alikuwa mpiga kerere tuHujanielewa. nimekupa tafsiri ya mwanasiasa. sijasema kupiga kelele ndiyo kuchapa kazi. wana ccm miaka ya hivi karibuni wamekuwa hivyo kwa sababu kila mtu anataka aonekane ili ulaji uendelee and possibly apate nafasi ya juu.
Nimekupa mfano wa Mzee Warioba aliyekuwa na mentality hiyo, he ended being mstaafu tangu mwaka 1990. Hakuna mwanasiasa wa kizazi cha leo angetaka kwenda retirement in his 40's. Hicho ndicho kinafanya wawe hivyo......
Huyo Bashungwa akiendelea kuwa hivyo, his political career is at his very end. Labda isiwe hapa Tanzania....mark words!

Kusuta watu mbele za kamera na kujipendekeza kwa Magufuli ndio uchapakazi?Hizi ndio dharau walizofikia hawa watu kututawala.
Wapo tayari kutoa wasimamizi imara ilimradi wasionakane.
Bashungwa TAMISEMI ameonyesha umahiri gani mpaka sasa.
Hawa jamaa wanatudharau sana,
Hujanielewa. nimekupa tafsiri ya mwanasiasa. sijasema kupiga kelele ndiyo kuchapa kazi. wana ccm miaka ya hivi karibuni wamekuwa hivyo kwa sababu kila mtu anataka aonekane ili ulaji uendelee and possibly apate nafasi ya juu.
Nimekupa mfano wa Mzee Warioba aliyekuwa na mentality hiyo, he ended being mstaafu tangu mwaka 1990. Hakuna mwanasiasa wa kizazi cha leo angetaka kwenda retirement in his 40's. Hicho ndicho kinafanya wawe hivyo......
Huyo Bashungwa akiendelea kuwa hivyo, his political career is at his very end. Labda isiwe hapa Tanzania....mark words!
Mtu ameshakua hadi waziri mkuu ulitaka aende wapi tena zaidi. na kama warioba angetaka kua ata rais angeweza kufika uko maana haya mambo ni hitaji la mtu na mtu mwenyewe aamue kuyapambania ila sio kuyapambania kwa kupiga porojo au kujipitisha pitisha kwa wananchi uku huna unachodeliver...ndo maana ata Nyerere mwenyewe alistaafu akiwa kijana,angeamua azeekee ikulu angeweza.Siasa ziko dunia nzima ila wewe unataka watu wafanye siasa za kilimbukeni kitu ambacho hakina faida kwa nchi zaidi ya kumpa mtu umaarufu usio na faida.Tupende kua na viongozi smart wanaofanya mambo kwa ufanisi bila kuwaza publicity.Hujanielewa. nimekupa tafsiri ya mwanasiasa. sijasema kupiga kelele ndiyo kuchapa kazi. wana ccm miaka ya hivi karibuni wamekuwa hivyo kwa sababu kila mtu anataka aonekane ili ulaji uendelee and possibly apate nafasi ya juu.
Nimekupa mfano wa Mzee Warioba aliyekuwa na mentality hiyo, he ended being mstaafu tangu mwaka 1990. Hakuna mwanasiasa wa kizazi cha leo angetaka kwenda retirement in his 40's. Hicho ndicho kinafanya wawe hivyo......
Huyo Bashungwa akiendelea kuwa hivyo, his political career is at his very end. Labda isiwe hapa Tanzania....mark words!
point yangu ni kwamba siasa ya bongo ni ya wenye kelele, ukiwa mkimya utaonekana si mtenda kazi. ni bahati mbaya sana iko hivi.Mkuu kama huna exposure, elimu ya kuunga unga na huna uhakika na kazi yako lazima uwe mpiga kelele na kujipendekeza.
Delivery sio kelele na sio kila Mkuu wa nchi anapenda wapiga kelele. Kelele zingekuwa zinalipa sana Kalemani au Jaffo wangekuwa mawaziri wakuu sasahivi. After all Mama alishasema anataka team work Wizarani na anachokifanya Bashungwa is exactly kitu Mama anataka.
Bashungwa kabla ya Siasa alishakuwa Consultant wa kampuni mbalimbali nje na ndani ya nchi. Ana uzoefu wa kutosha na anasimamia kazi yake kadri anavyoona inafaa. Kwake yawezekana ni bora aweke nchi mbele kuliko future yake ya siasa.
Huyo Jaffo ukiangalia kazi yake kubwa aliyofanya kabla ya siasa ni alikuwa Afisa Kulimo huko Kisarawe.
nani amekwambia nataka watu wafanye siasa za kilimbukeni? read between the lines. Nilichosema ni kuwa kupiga makelele ndiyo siasa za tz na africa. Na ukimya wa Bashungwa hata ccm mnaweza mkamuona si chapa kazi, maana wapiga kelele na wazuraji ndiyo huonekana wapiga kazi.Mtu ameshakua hadi waziri mkuu ulitaka aende wapi tena zaidi. na kama warioba angetaka kua ata rais angeweza kufika uko maana haya mambo ni hitaji la mtu na mtu mwenyewe aamue kuyapambania ila sio kuyapambania kwa kupiga porojo au kujipitisha pitisha kwa wananchi uku huna unachodeliver...ndo maana ata Nyerere mwenyewe alistaafu akiwa kijana,angeamua azeekee ikulu angeweza.Siasa ziko dunia nzima ila wewe unataka watu wafanye siasa za kilimbukeni kitu ambacho hakina faida kwa nchi zaidi ya kumpa mtu umaarufu usio na faida.Tupende kua na viongozi smart wanaofanya mambo kwa ufanisi bila kuwaza publicity.
siasa ya wakati huo ni tofauti na sasa, kwa sasa wapiga kelele ndiyo huonekana wapiga kaziHayo makerere mbona hatukuyasikia kwenye mawaziri wa Tamisemi enzi za Kikwete na Mkapa,,Jaffo alikuwa mpiga kerere tu